Picha za wanawake warembo waliokuwa wapenzi wa Ali Kiba kabla ya kupata mke

Posted by Aldo Pusey on Wednesday, October 2, 2024

-Kiba alitesa zama zake za ujanani

-Mwanamuziki huyo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake tofauti kabla ya kupata mke

-Mwanamuziki huyo ambaye alifunga ndoa Alhamisi Aprili 19 ana watoto wanne na wanawake tofauti

-Kiba alioa mpenziwe Amina katika harusi ya kufana iliyofanyika Mombasa

Habari Nyingine: Miguna Miguna yupo Nairobi baada ya kufurushwa kwenda Canada? (video)

Mwanamuziki maarufu kwa kibao Seduce Me Ali Kiba hatimaye alifunga pingu za maisha na mpenziwe Amina Rikesh katika harusi ya kufana sana iliyofanywa katika Msikiti wa Ummul Kulthum , Mombasa, asubuhi Alhamisi Aprili 19.

Kiba alifanya harusi hiyo katika hafla iliyohudhuriwa na gavana wa Mombasa Hassan Joho na watu wengine maarufu.

Habari Nyingine:Mbinu ya 'pastor' kuwavutia vijana kanisani inafurahisha, tazama video

Lakini kabla ya kumuoa Amina, mwanamuziki huyo alikuwa katika uhusiano na wanawake kadhaa, Tanzania na Kenya.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

TUKO.co.ke imebaini kuwa mwimbaji huyo wa Chekecha ana watoto wanne na wanawake tofauti, lakini mashabiki wake hawajui mama wa watoto hao.

Habari Nyingine: Makubaliano kati yangu na Raila sio kwa sababu ya 2022-Uhuru Kenyatta

Wafuatao ni mabinti waliokuwa katika uhusiano na nyota huyo:

1.Jokate Mwogelo

Walikuwa wakipendana sana kiasi kwamba watu walifikiri wangeoana

Habari Nyingine: Picha 17 tamu sana za Lulu Hassan na mumewe, mtangazaji wa NTV, Rashid Abdalla

2.Rahima

Sosholaiti wa Momabsa aliyedai Kiba alikuwa mtu wake na hata alikuwa na mimba yake

3.Dorethea Caroline

Alidai kuwa mja mzito kwa kuwa katika mapenzi na baba huyo wa watoto wanne

4.Bridget Achieng

Sosholaiti na mwigizaji wa The Nairobi Diaries aliyechora jina la kiba mwilini mwake

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Subscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibH53f49mp6KbmJZ6u62MsJinmaeWuKZ51pqpnqWSpHq4rcuipqStp5Z6uK3PnqWzoV2srm6ty6JkpKGSlnqsrcGlmGaxkWK4trzArZhmpZuae6nAzKU%3D